10. ذكرى محمد صلى الله عليه وسلم (باللغتين العربية والسواحلية)
الجزء ١ · صفحة ٣٨37
Mwenyezi Mungu na maadui zenu" ni kutaka kuondosha hivyo vita kwani adui yako akikujua kuwa una nguvu hatathubutu kukushambulia. Zitaishi pande zote kwa
salama.
Na
huku
ndiko kunakoitwa kutengeneza suluhu kwa ajili
ya kutaka Salama.
Na mipango yote ya vita inaonyesha namna gani Uislamu ulikuwa Rahimu na Mwema na Muadilifu na unapenda Salama. Kama anavyosema Mwenyezi Mungu kuwa "Wakimili kutaka salama basi na wewe taka na umtegemee Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia na Mjuzi wa kila jambo. Na wakitaka kukukhadaa Mwenyezi Mungu atakukifla kwa nusura yake na kwa Waislamu.
Basi hiki ni kitu kichache kabisa ya
za Mtume Salla Llahu Alayh Wasallam.
Na haya yanatosha Inshaallah kwa safari hii.
habari
٣٨ / ٤١
الأصل المصوَّر ٢ م.ب.