ذكرى محمد صلى الله عليه وسلم سلطان بن مبارك بن حمد الشيباني

10. ذكرى محمد صلى الله عليه وسلم (باللغتين العربية والسواحلية)

الجزء ١ · صفحة ٣٧

36

kusiwepo kutaabishwa (tena) kwa ajili ya dini. Iwe dini ni ya Mwenyezi Mungu.

Basi vita vya Waislamu na hao makafiri vilikuwa vya kujitetea si vya kushambulia watu. Na vya kujihami wao wenyewe na watu wao na dini yao. Na kama si kukubalishwa huku basi kila kitu kisingesimama ulimwenguni kama alivyosema Mwenyezi Mungu kuwa "Lau kuwa si kuondosha Mwenyezi Mungu shari ya baadhi ya watu kwa watu wengine basi yangekuwa yamekwishavunjwa misala na makanisa na mahekalu na misikiti ambayo linatajwa sana ndani yake jina la Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu na ndiye Mwenye kushinda. (Tutawanusuru) ambao tukiwamakinisha

wale

ulimwenguni watasimamisha Sala watoe

waamrishe mema na wakataze mabaya.

Zakaa

Basi haya yanaonyesha dhahir shahir vita katika Uislamu ni njia ya kuondosha jeuri na dhulma siyo njia kuonea wat una kuwadhulumu.

ya

Na

sababu ya

kusema

Mwenyezi Mungu

"Wawekeeni

tayari maadui

zenu

mnazoziweza ili

mwaogopeshe

kila nguvu

hao maadui

wa