10. ذكرى محمد صلى الله عليه وسلم (باللغتين العربية والسواحلية)
الجزء ١ · صفحة ٣١Alayh Wasallam katika nyumba ya Ami yake; Bwana Abu Talib، kwenye mji wa Makka.
Nyumba yote ile ilijaa nuru ikameremeta na nyota zote zikaisogelea nyumba hiyo hata ikadhaniwa zitaiangukia. Na kwa nuru hiyo iliyojaa nyumba huyo mama yake Mtume aliweza kuyaona majumba ya Sham na hali ya kuwa yuko Makka.
ya
Na zilidhihiri ajabu nyingi kabisa katika siku hiyo kuzaliwa Mtume.
Miongoni mwa ajabu hizo ni:
1. Kuanguka hilo jumba kubwa alilolijenga mfalme
Kisra.
2.
Kuzimika
Maparisi.
mioto iliyokua ikiabudiwa na
3. Kupinduka masanamu chini juu.
4. Majini kuwalingania watu khabari za Mtume.
Alipotimiza miaka 6 akafa mama yake، akalelewa na yayaake، Bibi Ummu Ayman. Na akatazamwa na Babu yake، Bwana Abdul Mutalib. Alimpenda zaidi na kumshughulikia zaidi kuliko wanawe alowatoa matumboni mwake. Lakini mara tu alikufa na hali ya kuwa Mtume kijana wa miaka 8 tu basi.