10. ذكرى محمد صلى الله عليه وسلم (باللغتين العربية والسواحلية)
الجزء ١ · صفحة ٣٢31
Akalelewa na Ami yake Bwana Abu Talib malezi
vile vile mazuri kabisa. Bwana huyu alikuwa karimu، lakini
alikuwa
fakiri
sana.
Lakini
kwa kule kumchukua Mtume na kumlea، Mwenyezi
Mungu alimtengenezea hali yake، ikawa baraka kwake na kwa Watoto wake.
Alipotimiza umri wa miaka 25 alikwenda Sham
kwa ajili ya biashara ya
Khadija. Ikawa hii ndiyo safari yake ya
ya kwenda huko Sham.
Bibi
pili
Na miujiza mingi ilidhihiri katika safari yake hii. Moja katika miujiza hiyo ni kuwa mawingu yakimfunika asipi gwe na jua. Hata huyo Padri mkubwa Nastura akamta mbuwa kuwa atakuwa Mtume. Akauza yale mali ya Bibi
Khadija kwa faida kubwa kabisa asiyopata kuiyona mais ha huyo Bibi Khadija
na akaona miujiza yake mengine. Akayakinisha kuwa k weli huyu ni Mtume. Akamwomba amwoe، akamwoa. Akazaa naye na akakaa naye maisha bila
ya kumwolea mke mwengine mpaka akafa huyo Bibi Khadija ndipo alipomwoa Bibi Aisha na wengineo.