نهاية التدليس في مقتل الخليفة ذي النورين خلفان بن سليمان بن خلفان الطيواني أبو الطيب

نهاية التدليس في مقتل الخليفة ذي النورين

الجزء ١ · صفحة ١١١

1 - KUMAIL BIN ZIYAAD

2 - ASHTAR ANNAKHAI (MAALIK BIN YAZEED).

3 - ALQAMA BIN QAYS ANNAKHAI

4 - THAABIT BIN QAYS ANNAKHAIYY 5 - JUN-DUB BIN ZUHEIR AL-'AAMIRYY 6 - JUNDUB BIN KA'AB AL-AAMIRIYY 7 - 'URWA BIN AL-JA'AD

8 - 'AMRY BIN AL-HAMIQ AL-KHUZAA'IYY

Unaona mambo hayo?? WANAMTUKANA OTHMAAN!! Sasa nitaleta "SURPRISE" hasa kwa MAWAHABI، nitawaletea nukuu kutoka kwa MUASISI WA POTE lao la KIWAHABI، naye ni MOHAMMED BIN ABDIL- WAHHAAB!!

Huwezi kuamini kuwa kanukuu majina ya MASAHABA na MATABIINA WEMA waliopewa adhabu ya kuhamishwa mijini mwao na kupelekwa miji mengine، kisa na sababu walikuwa wakikemea mambo yaliokuwa yakienda kombo katika zama za KHALIFA WA TATU، lakini MOHAMED BIN ABDUL-WAHHAAB akaanza kuwarushia MASAHABA hao MANENO MAKALI kwa kuwasifu kwa: UPOTOFU، UJINGA NA SHARI!!!

Tunatambua kuwa katika MSINGI MKUU WA AHLI-SUNNA WAL- JAMAA ni KUTOWASEMA MASAHABA KWA VIBAYA!!! Lakini mbona hapa WAMERARULIWA VIBAYA SANA!!!

Tusiandikie mate na wino upo، soma nukuu ifuatayo ya MOHAMMED BIN ABDUL-WAHHAAB ANNAJDIYY:

MOHAMED BIN ABDUL-WAHHAAB anatuambia katika kitabu chake: "KISHA (MUAAWIYA) AKAWANASIHI، WAKAENDELEA KATIKA UPOTOVU WAO، NA UJINGA WAO، NA SHARI ZAO، MUAAWIYA AKAWAHAMISHIA TENA KUTOKA SHAAM (KWENDA HIMS). NA WALIKUWA KUMI (10):

111