نهاية التدليس في مقتل الخليفة ذي النورين خلفان بن سليمان بن خلفان الطيواني أبو الطيب

نهاية التدليس في مقتل الخليفة ذي النورين

الجزء ١ · صفحة ١١٤

Sasa eti mtu kakuta maneno kwa MAIBADHI dhidi ya mambo yaliyotokea nyuma katika zama za MASAHABA inakuwa nongwa!!! Lakini hayo hayo au zaidi ya hayo yakitoka kwa maulamaa wake unaufyata mdomo yake!!! Na kufumba macho yake!! Kama kwamba hajasikia wala kuona!!!

Kweli huo ni UADILIFU???? Na kweli TUTAFIKIA???

Ni afadhali mtu akaamuwa kunyamaza kimya au akisema awaseme wote!!! Lakini kujivika na kujigubika vazi la tabia ya KIYAHUDI ya kuona DODO KATIKA JICHO LA MWENZAKO IL-HALI LAKO LINA BORITI sio tabia maridhiya katika UISLAMU!!!

Kutokana na kasoro hiyo ndio maana ukakuta kila anayejaribu kuwashambulia AHLIL-HAQQI (MAIBADHI) katika suala hili tunampiga na chini akarejea HOI BIN TAABANI avuja damu kila mahala!! Kama alivyosema mshairi:

كَمْ مِنْ سَفِيْهِ تَعَدَّى فَابْتَسَمْتُ لَهُ *** أَصُوْنُ ذَيْلِيَّ فَإِنَّ الكَلْبَ مَسْعُوْرُ

***

فَعَادَ مِنْ صَخْرَتِي وَالرَّأْسُ مَكْسُوْرُ دَّانِيْ يُنَاطِحُنِي وَكَمْ كَبِيْرِ تَحَ

WAJINGA WANGAPI WALICHUPA MIPAKA NIKAWACHEKEA NAHIFADHI NGUO YANGU KWANI MBWA NI KICHAA

NA WAKUBWA WANGAPI WALIJITIA UJASIRI WA KUPAMBANA WAKAREJEA WAMEJIGONGA NA MWAMBA WANGU NA KICHWA KIMEPASUKA

Nakumbuka kuna kijana mmoja wa KIWAHABI anaitwa MOHAMMED NASSOR BACHU، aliwahi katika sakata hili la MASAHABA kuwasema

114